Kahiga kurithi kiti cha ugavana Nyeri Jumatatu
Published on: November 11, 2017 08:23 (EAT)
Baadhi ya viongozi wa kisiasa katika kaunti ya Nyeri wameunga mkono kuapishwa kwa Mutahi Kahiga kama gavana wa nne wa kaunti hiyo.
Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke
Comments
No comments yet.
Leave a Comment