Kaka ashukiwa kumtoa dadake kafara

Polisi wanamzuilia mwanamume mmoja mwenye umri wa miaka 24 kwa tuhuma za kumuuwa dadake mwenye umri wa miaka 22, dada ambaye hadi kifo chake alikuwa mwanafunzi wa uhandisi katika chuo kikuu cha JKUAT. Lakini kulingana na uchunguzi huenda kaka huyo anyefahamika kama Charles Kibe alimtoa kafara dadake Grace Nduta.

Tags:

JKUAT Grace Nduta Charles Nduta

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories