Kakuma haina umeme

Wakazi wa Kakuma kaunti ya Turkana wanalalamika kwamba wamesahaulika katika miradi ya maendeleo. Licha ya kuwa mji huo umekuwa mkubwa, hauna umeme. Baadhi ya wafanyabiashara wamewekeza kangavuke yaani jenereta na kuwauzia wakazi umeme kwa bei ghali mno. Manahabari wetu Emmanuel Cheboit anaarifu zaid

Tags:

kakuma Umeme maendeleo kenya

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories