Kalonzo akutana na viongozi waliochaguliwa kupitia Wiper


Mwania mwenza wa muungano wa Nasa Kalonzo Musyoka amesisitiza kuwa eneo la ukambani ni ngome ya upinzani na kwamba Jubilee haina ushawishi katika eneo hilo. Kalonzo aliyasema haya alipokutana na viongozi wote waliochaguliwa kwa tikiti ya Chama Cha Wiper kutoka eneo hilo mjini Machakos. Viongozi hao pia wamemtaka afisa mkuu wa IEBC Ezra Chiloba kutohusika katika uchaguzi wa marejeleo

For Citizen TV updates
Join @citizentvke Telegram channelVideo Of The Day: On Viusasa, now you can download your videos and play them back later

Story By Gatete Njoroge
More by this author