Kalonzo alidai binti huyo wa Naibu Gavana alitekwa nyara

Mwanawe naibu wa gavana wa Machakos Bernard Kiala, Kathleen Nduku amepatikana siku chache baada ya kutoweka huku viongozi wa chama cha Wiper wakidai kuwa alikuwa ametekwa nyara.

Nduku alipatikana mapema leo katika nyumba ya mpenziwe eneo la mwiki hapa jijini. Gatete Njoroge na taarifa hiyo.

Want to send us a story? Submit on Wananchi Reporting on the Citizen Digital App or Send an email to wananchi@royalmedia.co.ke or Send an SMS to 25170 or WhatsApp on 0743570000

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories