Kalonzo apeleka kampeni za NASA Taita Taveta

Mwaniaji mwenza wa NASA Kalonzo Musyoka amesema kuwa iwapo watachaguliwa katika uchaguzi mkuu watahakikisha kuwa wamepunguza gharama ya maisha na kutekeleza masomo ya bure ya sekondari kwa kurejesha fedha zilizofujwa serikalini. Kalonzo aliyasema haya alipoendeleza kampeni za nasa katika kaunti ya Taita Taveta

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories