Kalonzo apuuza fununu ana mipango ya kutoroka NASA


Kiongozi wa wiper kalonzo Musyoka amepuzilia mbali madai kwamba anapanga njama kujiondoa kutoka kwa muungano wa nasa endapo hatateuliwa kuwa mgombea urais. Musyoka ambaye aliandamana na kinara Mwenza katika NASA Moses Wetangula anasema wanaoeneza uvumi huo wana nia ya kusambaratisha muungano wa NASA wakiapa watamuunga mkono yeyote atakateteuliwa kupeperusha bendera ya nasa.

For Citizen TV updates
Join @citizentvke Telegram channelVideo Of The Day: MPs threaten to slash NYS budget

Citizen Reporter
Story By Citizen Reporter
More by this author