Kalonzo asema ataapishwa pamoja na Raila

Kinara mwenza wa NASA Kalonzo Musyoka amesema kuwa ataapishwa pamoja na kinara wa muungano huo Raila Odinga iwapo rais Uhuru Kenyatta ataendelea kukataa wito wa mazungumzo. Musyoka alizungumza katika kikao na vingozi wengine wa ukambani alipoitembelea familia ya marehemu Francis Nyenze kaunti ya Kitui.

Tags:

raila odinga kalonzo musyoka NASA

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories