Kalonzo azuru Ukambani

Kiongozi wa chama cha wiper Kalonzo Musyoka hi leo amewasihi viongozi wenzake kutoka katika mrengo wa Cord, kumuunga mkono kwa kumruhusu awanie kiti cha urais katika uchaguzi mkuu ujao kwani yeye ametosha kushinda kiti hicho katika awamu ya kwanza…

Kalonzo aliyasema hayo alipozuru maeneo ya ukambani katika ziara yake ya kuwahimiza wenyeji wa eneo hilo wajisajili kama wapiga kura….hassan farah na kina cha taarifa hii.

Want to send us a story? Submit on Wananchi Reporting on the Citizen Digital App or Send an email to wananchi@royalmedia.co.ke or Send an SMS to 25170 or WhatsApp on 0743570000

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories