Kalonzo, Mudavadi wamtaka Zani kuomba msamaha


Vinara wenza wa muungano wa upinzani kalonzo musyoka na musalia mudavadi wamemshinikiza katibu mkuu wa odm dkt. Agnes zani kusahihisha usemi wake hapo jana, kuwa nasa imepata muafaka kuwa raila odinga atapeperusha bendera yake kwenye kinyang’anyiro cha urais mwezi agosti.

Musyoka na mudavadi wamesisitiza kuwa suala hilo halijatatuliwa, huku kamati ratibu ya nasa ikizomewa kwa kutoa taarifa za siri kuhusu masuala nyeti, na kutishia kuliyumbisha dau la upinzani. Francis gachuri ana taarifa kamili.

For Citizen TV updates
Join @citizentvke Telegram channelVideo Of The Day: KEMRI scientists examine safety of anti-malarial drugs in first trimester of pregnancy

Citizen Reporter
Story By Citizen Reporter
More by this author

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *