Kalonzo Musyoka amkosoa Fazul Mohamed

Kinara wa wiper kalonzo musyoka sasa anamlaumu naibu wa rais william ruto kwa masaibu yake, na kufungwa kwa akaunti za benki za wakfu wa kalonzo musyoka, kwa madai ya ubadhirifu wa fedha zilizotolewa na wafadhili. Musyoka anadai kuna njama za kumpaka tope, juma moja tu baada ya kuteuliwa kama mgombea mwenza wa urais wa muungano wa nasa, na kuilaumu bodi ya kusimamia mashirika ya kijamii kwa kutumiwa kuwakadamiza viongozi wa nasa.

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories