Kaluma, Ogada watakiwa na polisi

Polisi sasa wanamtaka mbunge wa homabay mjini peter kaluma kufika katika kituo cha polisi cha homa bay kufuatia vita kati yake na mwanasiasa wa odm washington ogada jumapili iliyopita. Wawili hao walipigana mbele ya hadhara wakati wa sherehe ya kumkumbuka aliyekuwa seneta wa Homa bay Otieno Kajwang’ iliyohudhuriwa na kinara wa odm raila odinga na naibu kinara wa chama hicho ali hassan joho. Stephen Letoo na taarifa kamili.

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories