Kamari yamuuwa

Mwanamume  mwenye umri wa miaka 30 amejitia kitanzi katika mji wa narok baada ya kudaiwa kupoteza pesa katika kamari ya mpira ambayo vijana wengi sasa wanajihusisha nayo. Joseph kariuki almaarufu kama ‘scorpion’ anadaiwa kutumia 9,000 katika kamari akitaraji kuwa angeshinda fedha ambazo zingemsaidia kulipa mkopo wa benki.

Want to send us a story? Submit on Wananchi Reporting on the Citizen Digital App or Send an email to wananchi@royalmedia.co.ke or Send an SMS to 25170 or WhatsApp on 0743570000

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories