Kamati ya bunge ya sheria yamhoji Eliud Wabukala

Wabunge hii leo wamemhoji aliyekuwa Askofu Mkuu wa kanisa la Kianglikana Eliud Wabukhala aliyeteuliwa kuchukuwa wadhifa wa mwenyekiti katika tume ya kupambana na ufisadi EACC. Kamati ya bunge ya sheria ilitaka kujua mikakati tofauti Askofu Wabukhala atakayotumia kuhakikisha kuwa vita dhidi ya ufisadi imetimizwa. Aidha wabunge walitaka kujua iwapo Wabukhala ana muda wa kazi hiyo kutokana umri wake mkubwa.

Tags:

EACC Eliud Wabukhala

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories