Kamati ya bunge yakamilisha kupokea maoni ya umma

Kamati maalum ya bunge inayotathmini mabadiliko yanayopendekezwa kwenye sheria za uchaguzi imeanza mikakati ya kuandaa ripoti, baada ya kupokea maoni kutoka kwa wadau na wananchi kwa jumla. Makamishna wa tume ya uchaguzi-IEBC jana usiku waliwasilisha hoja zao, na kuunga mkono mengi ya marekebisho yanayopigiwa debe.

Tags:

amendments to Election Laws

Want to send us a story? Submit on Wananchi Reporting on the Citizen Digital App or Send an email to wananchi@royalmedia.co.ke or Send an SMS to 25170 or WhatsApp on 0743570000

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories