Kamati ya bunge yamaliza usaili wa IEBC


Bunge la kitaifa linatarajiwa kukongamana siku ya jumanne wiki ijayo kuangazia orodha ya Wakenya saba wanaopendekezwa kuwa makamishna wapya wa tume ya uchaguzi IEBC. Hii inafuatia kukamilika kwa shughuli ya kuwachunguza ambapo balozi Kibiwot Kurgat, Margaret Wanjala na Profesa Abdi Guliye ambapo wamejitetea kwa kamati ya bunge ya sheria wakieleza jinsi uzoefu wao katika sekta mbalimbali utawezesha kuandaliwa kwa uchaguzi mkuu ujao.

For Citizen TV updates
Join @citizentvke Telegram channelVideo Of The Day: Floods exhume bodies at a cemetery

Citizen Reporter
Story By Citizen Reporter
More by this author