

Huku tarehe 30 mwezi huu ikikaribia, kamati inayosimamia mipango ya kuapishwa kwa kinara wa NASA Raila Odinga imesema kuwa muungano huo unaendelea kuandaa hafla hiyo. Mwenyekiti wa kamati hiyo David Ndii amesema kuwa NASA itahudhuria kongamano la bunge la wananchi hapo kesho katika kaunti ya Machakos.
Video Of The Day: NEWSNIGHT | Kalonzo quizzed over claims of support for Uhuru term extension