Kamishna Warsame na Jaji Ojwang wapelekana mchakamchaka

Kijoto kilitanda katika mahakama ya juu zaidi, Jaji Jackton Boma Ojwang alipokuwa akihojiwa na makamishna wa tume ya huduma za idara ya mahakama. Majaji Mohammed Warsame na Ojwang walirushiana cheche za maneno pale ambapo Jaji Ojwang alikuwa alihojiwa kuhusiana uamuzi wa JSC kuwa alikosa nidhamu alipotishia kugoma kupinga uamuzi kuhusu kustaafishwa kwa majaji wenzake.

Tags:

JSC Jackton Ojwang cj Mutunga succession Warsame

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories