Kampeni za Jubilee zafanyika Bungoma, Pokot Magharibi na Eldoret


Rais Uhuru Kenyatta amewapongeza wafuasi wake kutoka mkoa wa magharibi kwa kumpigia kura wakati wa uchaguzi mkuu wa tarehe nane mwezi wa nane na kuwarai kujitokeza tena kwa wingi tarehe 17 mwezi Oktoba kumuunga mkono. Rais Kenyatta aliyekuwa akizungumza alipozuru kaunti ya Bungoma pia alimkashifu kiongozi wa upinzani Raila Odinga kwa kueneza propaganda kuhusiana na miradi ya maendeleo ya Jubilee.

For Citizen TV updates
Join @citizentvke Telegram channelVideo Of The Day: On Viusasa, now you can download your videos and play them back later

Story By Gatete Njoroge
More by this author