Kampuni ya Al-Ghurair yaendelea kuchapisha karatasi za uchaguzi

Huku mahakama kuu ikitarajiwa kutoa uamuzi kuhusu kandarasi ya karatasi za kura hapo kesho, kampuni ya Al-Ghurair ingali inaendelea na shughuli ya uchapishaji wa karatasi hizo za kura.
Mwanahabari wetu Sam Gituku yuko jijini Dubai na ametuandalia taarifa kuhusu mchakato mzima wa kuandaa karatasi za kupigia kura pamoja na ni vipi shughuli hiyo huenda ikaathiriwa na uamuzi wa hapo kesho.

Tags:

NASA Justice George Odunga Al Ghurair Dubai. IEBC

Want to send us a story? Submit on Wananchi Reporting on the Citizen Digital App or Send an email to wananchi@royalmedia.co.ke or Send an SMS to 25170 or WhatsApp on 0743570000

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories