Kampuni Ya Madini Yalaumiwa Kutolipa Sh. 370M

Kampuni ya uchimbaji  madini ya base Titanium Kaunti ya Kwale sasa inalaumiwa na serikali ya Kaunti ya Kwale kwa kushindwa kulipa ushuru wa zaidi ya shilingi  milioni 370. Hata hivyo wakuu wa kampuni hiyo wanasema kuwa katiba haijagatua ugavi wa madini kwa kaunti. Wenyeji wakisema kuwa wametengwa kwenye nafasi za ajira Nicky Gitonga anatusimulia.

Want to send us a story? Submit on Wananchi Reporting on the Citizen Digital App or Send an email to wananchi@royalmedia.co.ke or Send an SMS to 25170 or WhatsApp on 0743570000

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories