Kampuni ya Orange yashirikiana na Radio Citizen

Msafara wa  Redio Citizen kwa ushirikiano na kampuni ya huduma za mawasiliaono ya Orange hivi leo ulizuru kaunti ya Tran Nzoia kwa minajili ya kuwahamasisha wakazi wa maeneo hayo kuhusu huduma mpya ya Orange ambayo ni nafuu mno kwa mwananchi wa kawaida.

“Holla shika even more” inawapa wananchi muda mwingi wa kuongea, kutuma ujumbe mfupi na hata data ya mtandao.

Msafara ulianzia Kitale, Matunda, kisha Huruma mjini Eldoret,na kuongozwa na watangazaji Willy M Tuva, Francis Luchivya, Jerida andaipamoja na wasanii Wilbroda, Mwala, Munai,  Dady Owen na Nameless.

Tamati itakuwa rhumba la Redio Citizen katika mkahawa wa 64 resort Eldoret nahodha akiwa mwendesha kipindi cha Rogaroga Fred Obachi Machoka.

Tags:

orange Radio Citizen

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories