Kampuni ya OT Morpho yajitetea kuhusu udukuzi wa mitambo


Kampuni ya kifaransa iliyotoa huduma za teknolojia ya uchaguzi katika kinyang’anyiro cha mwezi uliopita sasa inadai hakukuwa na udukuzi wowote wa mfumo wa matokeo kama ilivyodaiwa katika mahakama ya juu. Kampuni hiyo inatishia kuwashtaki wanasiasa wanaoiharibia jina.

For Citizen TV updates
Join @citizentvke Telegram channelVideo Of The Day: On Viusasa, now you can download your videos and play them back later

Story By Sam Gituku
More by this author