Kashfa Ya Kuku

Waziri wa kawi Davis Chirchir na aliyekuwa mkurugenzi wa KNEC Paul Wasanga wamehojiwa na tume ya maadili na kupambana na ufisadi kuhusiana na sakata ya kuku.  Wawili hao ambao wanadaiwa kupokea hongo kutoka kwa kampuni ya uingereza ya Smith and Ouzman ili kuipa kampuni hiyo kandarasi wamekanusha kuhusika katika sakata hiyo.

Want to send us a story? Submit on Wananchi Reporting on the Citizen Digital App or Send an email to wananchi@royalmedia.co.ke or Send an SMS to 25170 or WhatsApp on 0743570000

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories