Kasisi akamatwa kwa tuhuma za kudhulumu watoto kimapenzi

Maafisa wa polisi jijini Nakuru wamemkamata mshukiwa mmoja anayedaiwa kuwadhulumu kimapenzi watoto 18 wa shule ya msingi ya Lenana. Tom Msaviri ambaye pia ni kasisi wa kanisa moja mjini humo alikamatwa katika mtaa wa Railway Line katika duka yake ya filamu ambapo inadaiwa amekuwa akitumia kuhada wanafunzi hao kwa kuwafanya kutizama filamu za ngono.

Tags:

ngono dhuluma za kimapenzi kasisi watoto

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories