Kasisi apatikana ameuawa Nyamira

Hofu imewagubika wenyeji wa wa kijiji cha Riosune huko Borabu kaunti ya Nyamira baada ya mwili wa mhubiri aliyekuwa ametoweka kupatikana umekatwakatwa bila kichwa.
Mwili wa mhubiri huyo wa kanisa la SDA ulipatikana mita 200 kutoka nyumbani kwake ukiwa tayari umeanza kuoza. OCPD wa Borabu amethibitisha kisa akisema kwamba mhubiri huyo alitoweka mwezi mmoja uliopita. Jamaa zake wanasema aliondoka nyumbani baada ya kupokea simu kutoka kwa watu wasiojulikanana

Tags:

Nyamira Kasisi auawa

Want to send us a story? Submit on Wananchi Reporting on the Citizen Digital App or Send an email to wananchi@royalmedia.co.ke or Send an SMS to 25170 or WhatsApp on 0743570000

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories