Kasisi apiga kambi hifadhi ya maiti akisubiri mkewe afufuke

Kasisi mmoja katika kaunti ya Embu amekita kambi katika hifadhi ya gakwegori akimwombea mkewe aliyefariki siku ya Jumapili afufuke iliwarejee nyumbani. Kasisi robinson karumba wa kanisa la eagle winners prophetic ministry akiandamana na washiriki wa kanisa lake walifika katika hifadhi hiyo na kudai kufanya ibada kando ya mkewe ambaye alikuwa amefariki

Want to send us a story? Submit on Wananchi Reporting on the Citizen Digital App or Send an email to wananchi@royalmedia.co.ke or Send an SMS to 25170 or WhatsApp on 0743570000

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories