Kasisi auawa Kisumu

Hali ya taharuki imetanda katika eneo la Nyabondo huko Kisumu baada ya kasisi mmoja kuuawa na gari lake kuchomwa moto. Evans Juma anadaiwa kuuawa na genge la majambazi. Polisi wameanzisha uchunguzi kufuatia kisa.

Tags:

kisumu Evans juma Nyabondo

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories