Kati ya wanafunzi 20 bora, 16 ni wasichana

Matokeo ya mtihani wa ksce mwaka huu umewashangaza wengi huku asilimia 85 ya wanafunzi walipofanya mtihani huo wakikosa kutimiza alama ya C+ ili kuweza kujiunga na vyuo vikuu vya umma nchini.

Ni wanafunzi mia moja na arobaini na mmoja pekee walioapta alama ya a ikilinganishwa na zaidi ya wanafunzi elfu mbili mwaka uliopita.

Akitangaza matokeo hayo waziri wa elimu Dkt Fred Matinagi amesema kuwa matokeo hayo yanaashiria hali halisi ya mambo na hakukuw ana udanganyifu. Mwanahabari wetu Faiza Maganga anatupasha zaidi.

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories