Katibu Mariam El Maawy atekwa nyara

Wanajeshi wanaripotiwa kuwaokoa watu sita waliokuwa wametekwa nyara na wanamgambo wa Al Shabaab katika kaunti ya Lamu. Hii ni baada ya idara ya usalama kuripoti kutumia nguvu ili kuwaondoa wanamgambo hao katika msitu wa boni. Mmoja wa waliotekwa nyara akiwemo katibu wa kudumu wa wizara ya ujenzi Mariam El Maawy.

Tags:

lamu Al Shabaab Mpeketoni El Maawy

Want to send us a story? Submit on Wananchi Reporting on the Citizen Digital App or Send an email to wananchi@royalmedia.co.ke or Send an SMS to 25170 or WhatsApp on 0743570000

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories