Kauli ya Raila kuhusu maji yazidi kuibua hisia


Serikali memsuta kiongozi wa upinzani Raila Odinga kwa matamshi yake ya  jana kwamba mradi wa maji unaogharimu Benki ta Dunia Kima cha shilingi bilioni 6.8, unatekelezwa kwa usiri kwa sababu ya uwezekeno wake kuwa na athari mbaya kimazingira.

For Citizen TV updates
Join @citizentvke Telegram channelVideo Of The Day: Some MPs plan to shoot down Uhuru\'s proposal on VAT

citizen
Story By Citizen
More by this author