Kaunti 13 pekee zimetimiza sheria ya kuajiri


Mabunge ya kaunti ya Nandi na Kirinyanga yanaongoza kwa ukabila baada ya kubainika kwamba yamewajiri watu wa kutoka jamii zao katika nyadhifa nyingi kwenye mabunge hayo. Haya yamefichuliwa katika ripoti maalum iliyotolewa leo na tume ya uwiano na maridhiano kuhusu uajiri wa watu katika taasisi za umma.

For Citizen TV updates
Join @citizentvke Telegram channelVideo Of The Day: Odinga maintains Jubilee stole his 2017 victory

citizen
Story By Citizen
More by this author