Kaunti ya Nairobi yaondoa baadhi ya ushuru


Serikali ya kaunti ya Nairobi imefutilia mbali malipo na kodi tofauti kwa wafanyabiashara wadogo wadogo katika kaunti ya Nairobi. Kwa mujibu wa barua iliyoandikwa na naibu gavana wa Nairobi Polycarp Igathe, amri hiyo ilipaswa kutekelezwa kuanzia tarehe 14 mwezi uliopita.

For Citizen TV updates
Join @citizentvke Telegram channelVideo Of The Day: Some MPs plan to shoot down Uhuru\'s proposal on VAT

Story By Makori Ongechi
More by this author