Kaunti ya Nairobi yawatukuza Mashujaa

Mtetezi wa mazingira, hayati, Wangari Mathai na mwendazake Kadinali Otunga ni miongoni mwa mashujaa walioenziwa katika kaunti ya Nairobi ambapo barabara mbili muhimu jijini zimepewa majina yao katika sherehe za maadhimisho ya siku ya mashujaa.

Tags:

Nairobi mashujaa Nzamba Kitonga wangarei maathai

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories