Kaunti ya Uasin Gishu kuajiri maafisa wapya


Taifa hili linakodolea macho kutumia kima cha shilingi bilioni moja nukta nne kila mwaka kuwalipa maafisa watakaoajiriwa na wawakilishi wa wadi katika kama wasaidizi wao kote nchini.
Bodi za kaunti zinatarajiwa kuwaajiria mca wote waliochaguliwa, karani, wasaidizi na walinzi kwa jumla ya shilingi sitini kila mwezi.

For Citizen TV updates
Join @citizentvke Telegram channelVideo Of The Day: On Viusasa, now you can download your videos and play them back later

Story By Hassan Mugambi
More by this author