

Ripoti za matumizi ya fedha za kaunti zinaonyesha kufujwa kwa mamilioni ya pesa na serikali na mabunge ya kaunti. Ripoti iliyotolewa na mkaguzi mkuu wa hesabu za serikali kuhusu matumizi ya fedha katika mwaka wa fedha uliomalizika juni mwaka 2016 inaonesha uozo huo.
Video Of The Day: Treasury allocates Ksh 4.5 B for procurement of vaccines