KCB, CFC zapunguza kiwango cha riba cha mikopo ya awali

Benki ya CFC Stanbic imekuwa benki ya kwanza kupunguza kiwango cha riba kwa mikopo mipya na ya zamani. Aidha benki ya KCB ilifuata masaa chache baadaye na kupunguza kiwango cha riba inayotoza kwa mikopo ya zamani. Mwanahabari wetu Denis Otieno anaaangazia mabadiliko hayo katika sekta ya benki humu nchini ambayo yamechangiwa na kutiwa saini kwa mswada wa kudhibiti viwango vya riba kwa mikopo.

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories