KCSE: Adhabu kwa wahalifu

Watu watatu wakiwemo watahiniwa wawili wa KCSE wametiwa mbaroni kwa madai ya kumuibia kimabavu  mkazi mmoja wa Nairobi wakitumia bastola ya kujiundia. Watahiniwa hao wamefanya mtihani wao wakiwa korokoroni katika kituo cha polisi cha Kilimani hapa jijini Nairobi.Licha ya kuwa watashtakiwa kwa madai ya wizi, adhabu za kuvunja sheria za mtihani ni kali.

Tags:

KCSE

Want to send us a story? Submit on Wananchi Reporting on the Citizen Digital App or Send an email to wananchi@royalmedia.co.ke or Send an SMS to 25170 or WhatsApp on 0743570000

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories