KDF: Maafisa 9 waliuawa na 15 wakajeruhiwa

Kiongozi wa ODM Raila Odinga sasa anadai kuwa idadi ya waliofariki katika shambulio la kambi ya kijeshi iliyoko Kolbiyow nchini Somalia ni zaidi ya inavyokiri KDF. Akitoa rambirambi zake kwa waliofariki, Raila ametaja shambulizi hilo kama la kipumbavu. Haya yanajiri huku inspekta jenerali wa polisi akikanusha madai kuhusu habari inayosambazwa kwenye mitandao ya kijamii kuwa Al Shabaab wanapanga kushambulia taasisi za masomo.

Tags:

KDF Al Shabaab somalia Kolbiyow

Want to send us a story? Submit on Wananchi Reporting on the Citizen Digital App or Send an email to wananchi@royalmedia.co.ke or Send an SMS to 25170 or WhatsApp on 0743570000

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories