KDF washambuliana na Al Shabaab nchini Somalia

Kambi ya wanajeshi wa KDF eneo la Kulbiyow karibu na mpaka wa kenya na nchi ya somalia ilivamiwa na wanamgambo wa Al Shabab alfajiri ya leo. Kulingana na msemaji wa jeshi Kanali Paul Njuguna, ilikuwa  jaribio la kuwavamia wanajeshi hao lakini hawakufaulu.

Tags:

KDF Al Shabaab somalia AMISOM ugaidi Al adde Wanajeshi wa Kenya

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories