KeNHA kujenga barabara kuu eneo la Salgaa

Idadi ya watu waliofariki katika ajali iliyotokea katika eneo la Sachangwan imeongezeka na kufikia 17. Hata hivyo watu 6 pekee kati yao ndio wameweza kutambuliwa kwa mujibu wa polisi. Manusura wa ajali hiyo wanauguza majeraha katika hospitali kuu ya rift valley mjini Nakuru.

Tags:

KeNHA salgaa

Want to send us a story? Submit on Wananchi Reporting on the Citizen Digital App or Send an email to wananchi@royalmedia.co.ke or Send an SMS to 25170 or WhatsApp on 0743570000

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories