Kenya yaadhimisha siku ya ukimwi duniani

Sherehe za  siku ya ukimwi duniani  ni kuzuia watu kupata virusi vya ugonjwa huo huku makahaba wakionekana kuzidi kuwatia hofu wataalam wa ugonjwa huo  kwa misingi kwamba wanachangia pakubwa kuenea kwa virusi hivyo.  Mwanahabari  wetu anne mawathe alizuri kaunti ya homabay ambayo ina idadi kubwa ya watu wanaoambukizwa virusi na kuzungumza na makahahaba wa kike na kiume kuhusu mchango wao katika kuzuia maambukuzi mapya.mapya.

Want to send us a story? Submit on Wananchi Reporting on the Citizen Digital App or Send an email to wananchi@royalmedia.co.ke or Send an SMS to 25170 or WhatsApp on 0743570000

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories