Kenya yashinda marathon ya London

Wanariadha wa kenya kwa mara nyingine wamedhibiti mbio za marathon huku mary keitany na mwenzake daniel wanjiru wakidhibiti mbio za marathon mjini london. Keitany alivunja rekodi ya dunia  katika mbio za wanawake baada ya k uandikisha muda bora wa saa 2 dakika 17 na sekunde 1. Wanjiru mwenye umri wa miaka 24 alionesha weledi wake katika kitengo cha wanaume baada ya kumpiku kenenisa bekele kufika utepeni wa kwanza.

Want to send us a story? Submit on Wananchi Reporting on the Citizen Digital App or Send an email to wananchi@royalmedia.co.ke or Send an SMS to 25170 or WhatsApp on 0743570000

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories