Kenya yavuna medali huko Kampala

Wanariadha wa kenya walipandisha hadhi ya taifa  katika mbio za nyika za kimataifa zilizoandaliwa leo katika uwanja wa kololo katika mji mkuu wa Kampala nchini Uganda. Kenya ilinyakua taji la mbio za kupokezana kijiti na vile vile za wanawake za kilomita 10.

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories