Kenyatta, Odinga wakaa kwenye jukwaa moja Kiambu


Kwa mara ya kwanza tangu mahakama ya upeo itoe uamuzi wa marudio ya uchaguzi wa urais, Rais Uhuru Kenyatta na kinara wa NASA Raila Odinga walikutana katika mazishi ya aliyekuwa meya wa Nairobi Samuel Mbugua Kihara.

For Citizen TV updates
Join @citizentvke Telegram channelVideo Of The Day: On Viusasa, now you can download your videos and play them back later

Story By Citizen Team
More by this author