Kero la Mvi

Kwa wengi nywele nyeupe au mvi ni dalili za kuzeeka na laana huku wengine wakichukulia kuwa mtindo wa nywele, lakini wahudumu wa afya wanasema kuwa kutozingatia lishe bora na ukosefu wa usingizi wa kutosha ndio imechangia pakubwa kuwepo kwa mvi. Mwanahabari wetu Collins Shitiabayi amelivalia njuga swala hili ambalo ni kero kwa wengi……

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories