Kero la Saratani ya mlango wa kizazi Migori


Ugonjwa wa saratani ya mlango wa kizazi ni moja kati ya magonjwa
yanayowaua kina mama wengi ulimwenguni. Ugonjwa huu umeenea sana katika kaunti ya Migori, hasa kwa wale wanaoishi mashambani na kuwasabababishia machungu zaidi kwani licha ya kuishi maisha ya umasikini, vituo vya afya viko mbali sana. Kassim mwalimu adinasi ameandaa makala maalum kutoka migori.

For Citizen TV updates
Join @citizentvke Telegram channelVideo Of The Day: On Viusasa, now you can download your videos and play them back later

Story By Kassim Adinasi
More by this author