Kero Ya Wachuuzi: Wenye vibanda vya biashara wafunga, Eastleigh

Shughuli za kibiashara zilisitishwa hi leo katika mtaa wa Eastleigh, hapa jijini nairobi baada ya wafanyi biashara kufunga maduka yao wakilalamikia kuwepo kwa wachuuzi wanaouza bidhaa mbalimbali sawia na zao nje ya maduka yao na barabarani huku wakifunga mabarabara yote eneo hilo jambo ambalo limesababisha wenye maduka kukosa biashara… mwanahabari wetu Hassan Farah alizuru maeneo hayo na kutuandalia taarifa ifuatayo……

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories