Kesi ya Chebukati kuhusu kusahihisha matokeo ya urais kuamuliwa wiki ijayo

Mahakama ya upeo siku ya Jumanne itatoa maamuzi yake kuhusu kesi iliyowasilishwa na mwenyekiti wa tume ya uchaguzi nchini Wafula Chebukati, kusaka ufafanuzi kuhusu majukumu yake katika suala nzima la upekuzi wa matokeo yaliyotangazwa katika vituo vya kupigia kura na maeneo bunge, kabla ya kumtangaza mshindi katika kinyang’anyiro cha urais. Chebukati anadai uamuzi wa mahakama ya upeo unakinzana na ule wa mahakama ya rufaa, katika kesi iliyowasilishwa na Maina Kiai, na hivyo kumweka katika njia panda kisheria.

Tags:

IEBC supreme court Chief Justice David Maraga Wafula Chebukati

Want to send us a story? Submit on Wananchi Reporting on the Citizen Digital App or Send an email to wananchi@royalmedia.co.ke or Send an SMS to 25170 or WhatsApp on 0743570000

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories