Kesi za kupinga uchaguzi , Mahakama yaitisha kikao cha kupanga kesi

Mahakama ya upeo itafanya kikao maalum cha kupanga mikakati ya kusikizwa kwa kesi inayoitaka kufutilia mbali uchaguzi uliofanyika mwezi jana ambapo Rais Uhuru Kenyatta alitangazwa mshindi. Mawakili kutoka pande zote husika watatoa hoja zao kisha mahakama itoe mwelekeo kuhusu yatakayofanyika hadi uamuzi wa mwishao. Haya yanajiri huku Mwanasheria Mkuu Profesa Githu Muigai akiwasilisha hoja ya kutaka kujumuishwa kwenye kesi hiyo kama rafiki wa mahakama ambaye anawakilisha serikali.

Want to send us a story? Submit on Wananchi Reporting on the Citizen Digital App or Send an email to wananchi@royalmedia.co.ke or Send an SMS to 25170 or WhatsApp on 0743570000

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories